Welcome to Takijo Website
Meet Our Big Events Here
Share Event
Juma peter

Hello world hoe are you!

Juma peter

Hello world hoe are you!

Juma peter

Hello world hoe are you!

Juma peter

Hello world hoe are you!

Juma peter

Hello world hoe are you!

Story of Bonifas J. Musyiti about the struggle to now.
Naitwa BONIFAS J. MUSYITI mwanzilishi wa kampuni ya TAKIJO TECHNOLOGIES HOLDINGS LIMITED, Awali ya yote mimi ni mkufunzi wa TEHAMA(ICT), mimi ni mzoefu wa uhandisi wa mifumo ya programs na tovuti kwa kutokea mwanzo wa wazo hadi kuwa program au tovuti bila ya kutumia frameworks. 2024 wakati niko chuoni niliunda mfumo wa tovuti wa kujifunza kiswahili online basi nikiwa nawalenga watali wanaokuja inchini lakin nikashindwa kuifanya kazi hiyo ianze kufanya kazi kwa sababu za kifedha maana changamoto ya fedha ndo ilikuwa adui yangu kwa hiyo kazi , hata hivyo wadau na marafiki walinishawishi kwa kiasi kikubwa wakisema wakisema kama nikiipandisha kazi iyo online na kuanza kufanya kazi basi ni mwanzo wa malango ya baraka zako kufunguka ko we usiokope kuhusu gharama bila ya faida ya haraka. Lakin mbali na yote ni vile wengi wao hawakujua kuhusu mimi ko hivo ilinipasa kuwasikiliza kisha na kutafakali kwa kina mimi kama mimi maana mimi ndo mwasikika wa hatua yenyewe, basi nikatoa mamuzi ya kusema kazi ina changamoto nyingi ko nimeiacha. 2024 baada ya kuitelekeza kazi ya kujifunza kiswahili online, nikaanzisha kazi ya AI (artificial intelligence) kwa nia ya kusaidia kujibu maswali ya hesabu, hii nayo ilikuwa kazi ambayo ni ngumu kweli na ambayo ilininyima ata kulala maana njia za mahesabu kuzibadilisha kuwa codi au maelekezo ya program siyo kazi ya kitoto ko ilinifanya kuwa kama sipo chuoni maana sionekani ovyo ovyo chuoni kisa nabadilisha formula za mahesabu kuwa code za komputer, na hii ni kazi ngumu kuliko zote ambayo piah wadau walipenda japo ilikuwa ni fixed AI bado ilionekana kama niajabu sana AI kufanya kazi OFFLINE wakati wamezoea ONLINE AI. Kwa taratibu za vyuo vya ufundi nazungumuzia VETA kwa mimi nilianza 2023 kama mwaka wa kwanza na 2024 kama mwaka wa pili na mwaka wa mtihani wa kujiunga na LEVEL 3, mimi 2025 nilisema inatosha wala sitajiunga na chuo tena kuendelea kusoma basi nikakaa nyumbani na kuendelea na kazi ya uandishi wa programs hasa tovuti maana ni rahisi sana zaidi ya installable programs kama za C/C++ programs, hapa ndo nikaanza kuandaa wazo la kampuni ya kusimamia na kutoa mifumo ya mtandao kama huduma (Software as Service~SaaS), hivyo ndo mwanzo wa kuanzisha na kutekeleza wazo la kuunganisha biashara na watu mtandaoni maarufu kama online marketplace. 2026 ndo mapango umekamilika wa wazo. Kwa sasa wazo la online marketplace linafanya kazi www.bitakijo.takijo.com, piah mbali na hapo tonatoa huduma za uundaji wa programs hasa tovuti kwa wateja kama taasisi au mtu binafsi kulingana na wazo lake linatakaje. Asanteni sana na mungu awabaliki. NAMBA YANGU YA WHATSAPP = +255688046229.